SISI

  • Ikoh MULTISERVICE ni Kampuni binafsi yenye mamlaka yenye mipaka ambayo iliundwa ili kukidhi mahitaji ya watu wa Burundi na urahisi wa kupat kazi za wasanii wa Muziki zinazozalishwa nchini Burundi na kuandaa video bora zenye kikidhi viwango vya ushindani katika masoko ya Afrika Mashariki lakini pia ili kuutangaza utamaduni wa Burundi kwa njia ya muziki katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na kati pamoja na dunia nzima.